Ni Jan 19 again, a baby doll is celebrating her twenties with style.My Birthday is always a big day but this year is the biggest as you can see. I got so much to celebrate for all the good things that had happened to me.
Mungu amenibariki sana nina kila sababu ya kulihimidi jina lake, namshukuru kwa yote aliyonijalia mpaka kufikia leo hii, amenijalia pumzi, afya njema, ameniepusha na majanga mengi, amenipa mkate wa kila siku kwa kifupi hakuna nilichoomba kwake nikakosa, I thank you lord so much.
HAPPY BIRTHDAY TO ME.........
No comments:
Post a Comment