Sep 18, 2009

My icon Michelle Obama





Who said first lady havai kaptura? now here we are first lady wa dunia ...ouch! Nimeteleza ulimi but mcheki mama Obama alivyotoka na kikaptura chake na makonfidensi ya kumwaga.......Nimependa hii bila shaka imeingia kwenye historia.

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...