Sep 18, 2009

Sweet Little Thing



Lazima ule kwa jasho nimekuwa nikiisikia kauli hii, hapo juu ni mimi na wadau mbalimbali wa burudani nchini tukiipanga puzzle ya Big Brother Africa 4(Tuliambiwa isipokamilika hakuna kula). Mwenye Pink na Cape ni AY, kulia kwake ni Saleh Ally, dada hellen na hubby wake Taji Liundi.......Sweet Little Thing ana sheimagh..hahahahaha

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...