Aug 6, 2009

Lubna Husseina


Nimeshtuka kidogo kusikia huko Sudan huyu bidada anazisubiri mboko kwasababu alivaa suruali ya kubana?
Me naona hizo sheria zikiingia bongo nitahama nchi coz I dont know what I ll do without dem jeans.

Pole sana Lubna

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...