Aug 6, 2009

Jai Ho



Currently nasikiliza Jai Ho umeimbwa na Pussycat Dolls na A.R Rahman, Well kama umeangalia Slumdog Mollionaire utakuwa unajua nazungumzia nini but this song kills me.

My best Part kwenye wimbo huu ni hapa

(Jai Ho) You are the reason that I breathe,
(Jai Ho) You are the reason that I still believe,
(Jai Ho) You are my destiny,
Jai Ho! Oh-oh-oh-oh!

(Jai Ho) No there is nothing that can stop us,
(Jai Ho) Nothing can ever come between us,
(Jai Ho) So come and dance with me,
Jai Ho! Oohh oh

Hey kwa wasiojua maana ya Jai Ho ni Victory....sasa katika kila Jai Ho weka Victory ndio utajua utamu wa wimbo huu.
This sounds good kwa watu wenye ambitions kama mimi
Goodday.

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...