Life is like this to some of us, no food, no cloth no shelter. I tried hard to figure it out but till today sijajua kwanini maisha yanakuwa cruel kwa watu wengine kiasi hiki, I don't blame god for this but i wish i knew why. Kama nakosea kujiuliza maswali kama haya Mungu nisamehe but kutoka chini ya moyo wangu natamani kujua kwanini maisha yanakuwa hivi kwa wengine.
No comments:
Post a Comment