Aug 25, 2009

Do you think she is the most beautiful woman in America?



Hell no kwangu mimi she aint but anaweza kuwa mwanamke anayejipenda kuliko wote thats why huwa anaonekana sana whereva she ll be.
Hakuna mtu anayeweza kubisha kuwa Bey anajua kuteka attention kwa mavazi yake mazuri, she is beautiful yes lakini wapo wasichana wengine wazuri ambao wangekuwa wanavaa kama Bey macho ya watu yangepata shida coz yasingejua yamwangalie nani yamuache nani?

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...