
Haloow, haloow, haloooow everyone,
Hey this is not a joke guys........
Pls stop stairing my fone and listen to me.
Listen guys naomba niongee kiswahii ili twende sawa, kwa wale msioelewa basi I ll call u privately and tutaongea kigalatia chetu.
Naanza sasa, sote tunaijua adha ya usafiri hapa jijini hasa wa daladala, hao wa Mbagala sitaki hata kuwagusia mungu ndio anae jua ni lini hawa wana wa Israel watavuka bahari hii ya Shamu.
Turudi kwenye mada yetu basi, kutokana na adha hii kuna wale madereva wa Tax ambao huchukua abiria kwa kuwachaji shillingi 1000 kila kichwa, kwa wale tunaokaa vituoni tumeshaliona hili.
Ni jambo zuri na atleast mtu unakuwa huchoki sana tofauti na kujipinda kwenye vipanya, Lakini kuna tatizo mwenzenu nimelisikia kutoka kwa jamaa mmoja hapa ofisini.
Ameniambia kuwa kuna majambazi ambao hujifanya na wao ni madereva wa Tax wanaofanya kama hivyo nilivyokwambia hapo juu, sorry sitaki kurudia kusema.
Wanaweza wakawepo majambazi watatu akiwemo dereva mwenyewe, mkipanda tu wakifika mbele wanawasaula na kuwa emptisha kila kitu, sijasikia kama wanabaka lakini huenda siku za usoni likatokea hasa kwa nyie mnaotembea na mia tatu mfukoni.
Eeeh sasa unafikiri dume zima limechoma mafuta halafu linakukuta na mia tatu,, aisee lazima litakusodoma na kukugomora.
I love u giys take care!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment