Sep 15, 2007

Mambo ya bajaji hayo kule kwetu Mombasa twaita tuk tuk





Jamani kwa wale tusiokuwa na magari yetu I mean a private transport,usafiri ndio huu. Eti nasikia kutoka mwenge mpaka Posta shilingi mia tano tu yaani nikujiachia kwa kwenda mbele. Si mnaicheki bajaji kwa ndani Si kitoto.

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...