Sep 11, 2007

KIcheko.com

A mom was having three girls both Virgin

They were both married on the same day

Because that Mom was a bit worried aliwaambia watoto wake wamwandikie barua baada ya kuanza maisha ya ndoa na kumwelezea how their sex life is.

The first one wrote "Nescafe".

Mama wa watu was puzzled at first, but then akaenda jikoni na kuchukua kopo la Nescafe.

Kopo hilo limeandikwa: "Good til the last drop."
Hapo mama akafurahi

The second wrote: "Benson&Hedges".

Mama akaenda kusoma kasha la sigara hizo na kukuta linasomeka: "Extra long king size".

Mama wa watu roho ikampiga mantwari paaaaaa!

The third wrote "British Airways".

Mama akatoka mbio mpaka kwenye kabati la vitabu na kuchukua magazine yenye tangazo la British Airways', Unajua limeandikwa nini?

"Three times a day, seven days a week, both ways."

Mama alizimia.......

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...