

Siku hizi viatu hivi vinaitwa Platform bila shaka mnaviona sana miguuni kwa wasichana wa kileo lakini kuna babu mmoja sijui mmeshawahi kumuona kwenye ze Comedy? Eeeh yule anasema tusijifanye wajanja haya ni makombo tu enzi zao za miaka ya sitini kweusi ndio hasa viatu hivi vilikoanzia eti mkewe kile kibibi marehemu ndio kilikuwa kinavaa enzi hizo.
But all in all vya sasa viko bomba.
Togtether we call it a blast from the past.................
1 comment:
Mmmmmh they pondering. I love it
Post a Comment