Mark Wahlberg alikuwa muuza ‘unga’
Mcheza sinema huyu ni mfano hai kuwa unapoanguka katika uovu
unaweza kuinuka na kufanya maajabu.
Mwigizjai wa Mark Wahlberg aliwahi kuhukumiwa kifungo cha
miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya biashara ya dawa za
kulevya na kutishia kuua.
Bahati ilikuwa yake kwani alitumikia siku 45 tu katika
gereza lenye ulinzi mkali huko Marekani.
“Siku 45 nilizokaa gerezani zilinifungua kuwa ninaweza kuwa
mwigizaji wa filamu, nilipotoka niliamua
kubadilika,” anasema.
No comments:
Post a Comment