Katika kuperuzi peruzi mtandaoni nikakutana hizi picha za shosti.......kuna video mbalimbali za nyuma kidogo ambazo zinamuonyesha Nicki akiwa na ka bum kadogo kama unavyokaona kwenye picha ya 2008...
Hapa naona mafuta yamekolea nyuma and kuna mtu alicomment huko nilikosoma saying Nicki anavaa booty pads lakini me nikiangalia kwenye hiyo tight nyeusi kama naziona nyama zileeeeeeee sasa huyu anayesema anavaa pads simuelewielewi
Hapa naona mambo ndo yalikuwa yanakazana kufutuka kwa nyuma..........All in all point yangu nikujiuliza kama kweli Mchina anaweza kurekebisha mambo haya na pia kama kweli Nicki amefanya hivyo.....binafsi siamini kabisa
No comments:
Post a Comment