Sijui how to call it kama ni tatizo au vipi, lakini sipendi tukiwa kwenye yale mambo yetu my baby boy awashe taa.....u cant believe nimekuwa kwenye uhusiano huu for almost three years lakini siwezi kumzoea na kuvua nguo wakati taa zikiwa on.
I tried to do it wakati nikiwa nimelewa lakini wapi nahisi akiwasha taa pombe zote zinaruka and tell you what? sio kwamba nna shape mbaya kivile..........
Sasa hili ni tatizo la kisaikolojia au nini? naomba msaada.
YOURS
XXX
No comments:
Post a Comment