
Mh mwenzangu umependa nini hapa kwa huyu mtalaka wa Nas, me nipenda nguo and crazy style ya nywele......kibongobongo si ntachekwa mpaka bac....aku mwache mwenyewe avae mimi hilo shoes sithubutu
I have learnt that caring too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...
1 comment:
Jamano ww kapendeza lakini mrs Nas wa zamano.....
Post a Comment