Sep 15, 2007

Tutamchuna ngozi mamba mzima mzima...........




KIbwagizo

" Rais kasema lazima tuwapige bao nne
Kikwete kasema lazima mamba arudi kwao mkia
Watanzania msiwe na hofu vijana wenu tunaingia vitani"

Verse

Watanzania msihofu, sababu kuu mbili za kufunga tunazo kwanza tunakocha mzungu, halafu uwanja wa kwetu. titititiliiiiiiiiiii

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...