Kila mtu anapewa nafasi moja tu ya kuonyesha alichonacho, My brother Kanumba alionyesha alichoweza alipokuwa kwenye jumba la Big Brother Africa kule Afrika kusini, hakuna haja ya kumsema vibaya kwa kile alichofanya....kaka wa watu amejikuna na mkono ulifikia pale thats it!
No comments:
Post a Comment