
Its to bad dunia ilikuja kujua baadae kama Michael Jackson alikuwa a wonderful daddy ambaye kila mtoto duniani angetamani kuwa na baba wa aina hii.
They Real Didn't Care about him labda Roosvelt angekuwepo angemsaidia kama alivyowahi kusema, au Luther King angekuwepo angemsaidia kuiambia dunia imuache but one thing najua is His Soul Rests in Peace now na kila mmoja aliyemfanyia ubaya unamuua taratibu ndani kwa ndani.
No comments:
Post a Comment