Jul 1, 2009

Bey na kivazi cha harusi stejini


Kama ingekuwa inaruhusiwa kuvaa nguo kama hii kwenye harusi walahi tena mimi ningevalia, my dreams is kufanya harusi ya aina yake hasa kwenye mavazi but maskini ya mungu nikivaa hivi hata huyu mume ataishia mlangoni na kuniacha peke yangu kwenye aisle nikishanga shangaa but I wish I could.

No comments:

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...