Aug 30, 2007

JULIESNEWS.COM

Mmeisikia hii jamani?


Hukooo Papua New Guinea watu wanawazika wagonjwa wa ukimwi wakiwa hai. inasikitisha hii jamani.

Unaambiwa wanawarushia tu mamichanga bila huruma, hebu ipatie picha hii stori.

Uliza kisa nini sasa?

Eti wanasema wanaogopa kuambukizwa ugonjwa huo, na pia wanasema ugonjwa wenyewe hauna dawa sasa kwanini ndugu zao hao waendelee kuwasumbua.

its true story

1 comment:

Anonymous said...

Du kweli hawa jamaa wako nyuma sana,

I have learnt that caring  too much on how your message will be conveyed unaweza kujikuta unabaki bubu. I’m a victim, you too at some poi...